Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akizungumza jambo na baadhi ya watoto wenye mahitaji maalum kwenye Iftari
aliyowaandalia Ikulu Jijini Dar es Salaam 03 Machi, 2025.
Watoto
yatima pamoja na watoto wenye mahitaji maalum wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa
na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es
Salaam 03 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan akimpakulia Iftar Sheikh wa
Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Omar kwenye iftar aliyowaandalia watoto
yatima pamoja na watoto wenye mahitaji maalum Ikulu Jijini Dar es Salaam 03
Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan akimpakulia Iftar Mkuu Mkoa
wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila kwenye iftar aliyowaandalia watoto
yatima pamoja na watoto wenye mahitaji maalum Ikulu Jijini Dar es Salaam 03
Machi, 2025.

0 Comments