Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa 4 De Fevereiro Luanda kwa ajili ya
Ziara ya Kiserikali ya siku 3 nchini Angola tarehe 07 Aprili, 2025. Rais Dkt.
Samia amealikwa na Rais wa Angola Mhe. João Manuel
GonçalvesLourenço na lengo la Ziara hiyo ni kukuza nakuimarishazaidimahusiano ya
kihistorianakidugubaina ya Tanzania na Angola.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa
Mambo ya Nje wa Angola Mhe. Téte António
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro
Luanda kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku 3 nchini Angola tarehe 07
Aprili, 2025.
No comments:
Post a Comment