Mkurugenzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi wa Singida, Dkt.
James Mrema akizungumza wakati wa mafunzo ya program hiyo.
-------------------------------------------
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limekuja na program ya O3 PLUS (Our Rights, Our lives, Our future) kwa ajili ya kuwaelimisha baadhi ya wanafunzi ili na wao wakawaelimishe wengine ili kuwakomboa kwa kutojiingiza kwenye makndi yasiofaa.Imeelezwa kuwa baadhi ya wanafunzi vyuoni hapa nchini wanakutana na changamoto mbalimbali zinazowafanya kuingia kwenye makundi yasiyofaa na kushindwa kufikia malengo yao na vile walivyotegemea pindi wanapoingia vyuoni.
Taswira ya mafnzo hayo.
No comments:
Post a Comment