Subscribe Us

header ads

DKT. NCHEMBA AZITAKA TAASISI ZA FEDHA KUJIUNGA NA MFUMO WA SEMA NA BOT

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizindua Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Christian Omolo.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (katikati), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Christian Omolo na Gavana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, wakifurahia baada ya uzinduzi wa Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Gavana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa halfa ya uzinduzi wa Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox), wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, akiteta jambo na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Sauda Msemo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma.

Meza Kuu ikiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Christian Omolo (kulia) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Bw. Emmanuel Tutuba, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa BoT, baada ya kumalizika kwa halfa ya uzinduzi wa Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox),uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha Dodoma).


 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akifuatilia matukio ya uzinduzi wa Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Huduma za Fedha (Sema na BoT) na Mazingira ya Majaribio ya Teknolojia ya Fedha (Bank of Tanzania Fintech Regulatory Sandbox),uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha wa Kambarage jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments