RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA TAIFA LA MSUMBIJI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA JAMHURI YA MSUMBIJI - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 26 June 2025

RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA TAIFA LA MSUMBIJI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA JAMHURI YA MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Msumbiji katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.

Matukio mbalimbali kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa Mgeni Rasmi kwa mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages