
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo tarehe
24 Juni, 2025 Maputo, Jamhuri ya Msumbiji ambapo anatarajia kuwa Mgeni Rasmi
katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji,
kufuatia mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo,Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizo zitafanyika
kesho katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akikagua gwaride maalumu kwa ajili yake mara baada ya kuwasili nchini humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akikagua gwaride maalumu kwa ajili yake mara baada ya kuwasili nchini humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokelewa na ngoma ya asili wakati wa mapokezi yake.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Jamhuri ya Msumbiji Balozi Maria Manuela Dos
Santos Lucas mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Maputo tarehe 24 Juni, 2025 Maputo, Jamhuri ya Msumbiji ambapo anatarajia
kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri
ya Msumbiji, kufuatia mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel
Francisco Chapo. Sherehe hizo zitafanyika kesho katika Uwanja wa Machava, Mjini
Maputo.
No comments:
Post a Comment