RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA CHANZO NA KITUO CHA KUTIBU MAJI CHA BUTIMBA MKOANI MWANZA - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 20 June 2025

RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA CHANZO NA KITUO CHA KUTIBU MAJI CHA BUTIMBA MKOANI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria uzinduzi wa maji Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. mradi huu wa maji una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 48 kwa siku na hivyo kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji la Mwanza kwa kuwanufaisha wakazi wa wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kuzindua mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages