Kikundi cha Kwata ya kimya kimya kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikionesha umahiri wa kupiga kwata hiyo wakati wa Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro zilizofanyika katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.
HABARI
*Ni katika muendelezo wa mkakati wa TANESCO wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi…
Copyright (c) 2018 mtazamomedia All Right Reseved
0 Comments