DKT. SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI WA MASASI MKOANI MTWARA - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 23 September 2025

DKT. SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI WA MASASI MKOANI MTWARA

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Masasi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mtwara tarehe 23 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Masasi mkoani Mtwara tarehe 23 Septemba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Masasi mkoani Mtwara waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 23 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages