Random Posts

RAIS . DKT. SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kanali Yahya Ramadhani Kido kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kanali Donald William Msengi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Tausi Mbaga Kida kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Fred Matola Msemwa kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Uwekezaji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. James Peter Mataragio kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati (Anayeshughulikia Masuala ya Mafuta na Gesi Asilia) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Waziri Rajab Salum kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Toba Alnason Nguvila kuwa Katibu Tawala, Mkoa wa Arusha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Stephen Justice Nindi kuwa Katibu Tawala, Mkoa wa Njombe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha   Ndugu Nsubili Akomeligwe Kajela Joshua kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha (anayeshughulikia Huduma za Hazina) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rose Zacharia Ambrose kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Baraka Haran Luvanda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, (anayeshughulikia masuala ya mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Aristides Robert Mbwasi kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Prof. Mohammed Ali Sheikh kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (anayeshughulikia masuala ya Uvuvi) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Emmanuel Daud Tayari kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Afya (anayeshughulikia masuala ya dawa na vifaa tiba) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Fabian Magawa Madele kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia masuala ya Mifugo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari,2026
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Sosthenes Laurent Kewe kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango anayeshughulikia masuala ya ufuatiliaji na tathmini kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti kuwa Balozi, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Viongozi wateule wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali alipowaapisha, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Februari, 2026.

Post a Comment

0 Comments