RAIS SAMIA ASHIRIKI MJADALA WGS DUBAI - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Wednesday, 4 February 2026

RAIS SAMIA ASHIRIKI MJADALA WGS DUBAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mjadala uliohusu mada ya “Serikali na Mustakabali wa Uwekezaji Mtazamo wa Afrika” kwenye Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 4 Februari, 2026. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki mjadala katika Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 4 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

No comments:

Post a Comment