Mwanasheria
toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare
Heche akikagua moja ya pombe aina ya Kiroba Original mapema hii leo
jijini Dar es Salaam wakati wa operesheni ya kusaka wasambazaji wa
kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga marufuku kutumika.
Sehemu ya Shehena ya maboksi ya pombe aina ya Kiroba Original ilikutwa katika ghala lililopo Mabibo jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria
toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare
Heche akizungumza na waandishi wa habari katika ghala la kuhifadhi pombe
aina viroba lililopo Mabibo jijini Dar es Salaam wakati wa operesheni
ya kusaka wasambazaji wa kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga
marufuku kutumika.
Msimamizi
wa Kiwanda cha Afro American Industries ambacho kinatengeneza pombe
aina ya Viroba akitoa maelezo kwa Mwanasheria wa Baraza la Taifa la
Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare Heche wakati wa operesheni ya
kusaka wasambazaji wa kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga marufuku
kutumika.
Mwanasheria
toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare
Heche akikagua baadhi ya nyara za Kiwanda cha Afro American Industries
ambacho kinatengeneza pombe aina ya Viroba wakati wa operesheni ya
kusaka wasambazaji wa kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga marufuku
kutumika.
Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira toka Ofisi ya
Makamu wa Rais Bw. Richard Mayungi (Kushoto) akisisitiza jambo kwa Msimamizi wa
Kiwanda cha Afro American Industries ambacho kinatengeneza pombe aina ya Viroba
mapema hii leo jijini Dar es Salaam wakati wa operesheni ya kusaka wasambazaji
wa kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga marufuku kutumika.
Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo
0 Comments