meneja wa elimu Dyana Masala (kushoto)akijibu
maswali kutoka waandishi wa habari(katikati) Mkurugenzi wa huduma za kodi na
elimu mamlaka ya mapato Tanzania Bw.Richard Kayombo(kulia) afisa elimu
mwandamizi idara ya kazi za ndani Bi.Alvera Ndabagoye.
Mtoa mada wa ambaye ni Ofisa mwandamizi mkuu
wa idara ya elimu na huduma za kodi malaka ya mapato tanzania (TRA)Bw.Hamisi Lupeja
akiwasilisha mada yake mbele ya
waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali hapa nchi semina hiyo ya siku moja
iliyoandaliwa na mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) iliolenga kuwapa elimu wanahabari
kuhusiana na matumizi ya mashine za elektroniki katika kulipa kodi. Pia semina
hiyo ililenga kutoa elimu kwa wananchi namna ya umuhimu wa kudai risiti wakati
wa manunuzi. Wanahabari wametumika kufikisha ujumbe kwa wananchi
waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali
hapa nchini wakiwa kwenye semina wakifuatilia kwa umakini mada ilikuwa
ikitolewa na mtoa mada namna ya matumizi ya mashine za elektroniki katika
kulipa kodi
Mkurugenzi wa huduma za kodi na elimu mamlaka ya
mapato Tanzania (TRA)Bw.Richard Kayombo (kushoto)akizungumza na waandishi wa habari katika
Hoteli ya Court Yard jijini Dar es salaam leo wakati wa ufunguzi wa semina ya
siku moja kuhusu mfumo wa malipo kwa kutumia mashine za elektroniki ulioanza
mwaka 2010.(katikati)Meneja huduma kwa mlipa kodi Bw.Alani Kiula(kulia) afisa
elimu mwandamizi idara ya kazi za ndani Bi.Alvera Ndabagoye
0 Comments