1
Mshauri wa Kimataifa wa Biashara Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits
Ltd, James Rugemalira (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar
es Salaam leo, wakati akiwatambulisha madaktari bingwa kutoka India ambao wapo
nchini kwa ajili ya kutoa matibabu. Kulia ni Daktari Bingwa wa Macho kutoka
Hospitali ya Narayana, Dk. Gagan Dudeja, Dk. Suhel Hassani ambaye ni bingwa wa
magonjwa wa koo na shingo na Mwenyekiti Mtendaji wa Hospitali ya Bangarne ya
India, Jyotsna Thajur
Mmoja
wa maofisa wa Hospitali ya Sanitas, Suresh (kulia), akitoa neon kwenye hafla
hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd,
Benedicta Rugemalira na Meneja Biashara wa Hospitali ya Sanitas, Sarin
Mgeni
mualikwa Balozi Shengoma Lawrence, akiuliza swali kwa madaktari bingwa hao
kutoka India
Mhariri
Mkuu wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Bernadina Chahali (kushoto),
akiuliza swali kwa madaktari hao. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo
Beer Wines and Spirits Ltd, Benedicta Rugemalira na Meneja Biashara wa
Hospitali ya Sanitas, Sarin na mmoja wa maofisa wa Hospitali ya Sanitas, Suresh
0 Comments