Mkurugenzi Mtendaji
wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David
Mgwassa, akionesha kinywaji cha Afrika Kusini kilichofungwa kwenye
viroba kama ambavyo Ko
nyagi inafanya hapa nchini.Vinywaji kama hivyo vipo karibu nchi nyingi Ulimwenguni.
Meneja wa Masoko wa Konyagi, Joseph Chibehe akielezea jinsi vinywaji vyao vinavyochangia mapato ta serikali
Makamu Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Kilimo,Maji na Mifugo, Said Nkumba akichangia mada
hiyo kwa kuviasa baadhi ya vyombo vya habari kuacha kuandika habari za
kudidimiza viwanda vya haba nchini. Kulia ni Idd Azzan Mbunge wa
Kinondoni na Dunstan Kitandula ambaye ni Makamu Mwenyekiti was Kamati
ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara.
Bidhaa mbalimbali zikiwa zimfungwa kwenye viroba
Mkurugenzi Mtendaji
wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David
Mgwassa () akifafanua jambo katika semina ya wajumbe wa Kamati mbili za
Bunge za Uchumi,Viwanda na Biashara pamoja na Kilimo,Maji na Mifugo
kuhusu baadhi ya vyombo vya habari vyenye uhusiano na nchi jirani
vinavyotumika kupiga vita viwanda vya ndani kikiwemo cha Konyagi. Semina
hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa
Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amos Makala, akichangia mada katika
semina hiyo. Kushoto ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, Kassim Majaliwa na
Said Nkumba.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, Dunstan Kitandula akichangia mada hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji
wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David
Mgwassa (kushoto) akimkabidhi jezi Idd Azzan kwa ajili ya timu ya Bunge
iliyocheza na timu ya Konyagi kwenye Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma
Jumamosi
Mgwassa akikabidhi jezi ya timu ya Konyagi kwa Idd Azzan tayari kwa mtanange na timu ya Bunge
Meneja Masoko wa
Konyagi, Joseph Chibehe (kushoto) akimkabidhi W. Zuberi msaada wa
vyerehani, ambavyo alivipokea kwa niaba ya BNaibu Spika wa Bunge, Job
Ndugai
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais, Utawala Bora, George Mkuchika, akisalimiana na timu ya
Bunge muda mfupi kabla ya pambano lao na timu ya Konyagi, kwenye Uwanja
wa Jamhuri mjini Dodoma.
George Mkuchika akisalimiana na wachezaji wa timu ya Konyagi
Wachezaji wa timu ya Bunge wakisalimiana na wachezaji wa Konyagi
Kikosi cha timu ya Bunge kilichochuana na Konyagi
0 Comments