Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa mtoa maelezo katika nyumba ya muziki wa
Ganon Faing Xi Chi,wakati alipotembelea Nyumba ya Makumbusho ya Muziki
huo huko kisiwa cha Gulangyu Island,jana akiwa katika ziara ya
Kiserikali nchini China na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Xiamen
China.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa na ujumbe wake wakiteremka ngazi katika Bandari ya ufukwe wa
kisiwa cha Gulangyu Island,baada ya kuitembelea Nyumba ya Makumbusho
ya Muziki Garnon ,jana akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini China na
ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China.]
0 Comments