Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kiteta na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Seif Rashidi
(kushoto) na askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Sumbawanga, Damiano
Kyaruzi baada ya kuweka jiwe la Msinhgi Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya
Mtakatifu Bakhita ya Namanyere Rukwa ikiwa ni moja ya shuguli
alizofanya kama mgeni wa siku ya Mangira Duniani iliyofanyika kitaifa,
Namanyere Juni 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia baadhi ya wananchi waliohudhuria
sherehe fupi ya uwekaji jiwe la msingi la Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya
Mtakatifu Bakhita ya Mjini Namanyere ikiwa ni moja ya shughuli za siku
ya mazingira duniani iliyofanyika kitaifa, mjini Namanyere juni 1, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments