Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Fedha William Mgimwa wakitoka kwenye
ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne
Kilango (kulia) na Mbunge wa Igalula, Athumani Mfutakamba kwenye jengo
la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013. (Picha na Ofisiya Waziri
Mkuu)
0 Comments