Random Posts

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI, RAIS MSTAAFU WA MAREKANI GEORGE W. BUSH NA MKEWE LAURA NA MKE WA TONY BLAIR WAHUDHURIA LEO DAR


bu1 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
bu2 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
bu3 
Wageni wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
 PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments