Random Posts

Rais Obama na Rais Kikwete watembelea mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo

8E9U0188 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwenyeji wake Rais Barrack Obama wa Marekani wakipata maelezo juu ya kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo kinachoendeshwa na kampuni ya symbion power wakati viongozi hao walipofanya ziara katika kituo hicho leo asubuhi.Watatu kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Symbion Power Bwana Paul Hinks(picha na Freddy Maro)

Post a Comment

0 Comments