Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza katika
Mkutano wa Teknolojia ya Kupambana na Uhalifu uliofanyika katika Jiji la
Lyon nchini Ufaransa hivi karibuni. Waziri Nchimbi alishiriki mkutano
huo pamoja na washiriki wengine kutoka nchi mbalimbaliduniani.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (katikati) akimsikiliza kwa makini Rais
wa Shirika la Kimataifa la Polisi (Interpol), Mireille Ballestrazzi
(kushoto) baada ya Mkutano wa Kimataifa wa Teknolojia ya Kupambana na
Uhalifu uliofanyika katika Jiji la Lyon nchini Ufaransa hivi karibuni.
Kulia ni Meya wa jiji hilo, Gerald Collomb.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na Rais wa Shirika la Kimataifa la Polisi (Interpol)
Mireille Ballestrazzi (kushoto) na Kulia ni Meya wa Jiji la Lyon, Gerald
Collomb. Waziri Nchimbi alishiriki mkutano huo wa Kimataifa hivi karibuni. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
0 Comments