Mkuu wa wilaya ya bagamoyo Mh Ahmed Kipozi kulia akiwa na Mkuu wa
wilaya ya Kinondoni Mh Jordan Rugimbana wakijadiliana jambo wakiwa
kwenye viwanja vya maonyesho vya mwalimu nyerere mkoani Morogoro
walipotembelea maonyesho hayo leo ambayo kanda ya Mashariki yanafanyika
Morogoro
Afisa
wa mfumo wa jamii wa Nssf Mama Mheta akimweleza jambo kuhusu shuguli za
shirika hilo kwenye banda la Nssf kwenye maonyesho ya wakulima
yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerer Mkoano Morogoro.
Na Audifacejackson.Blogspot.com
0 Comments