Random Posts

MKUTANO WA WADAU KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA WAFANYIKA DAR ES SALAAM LEO

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu mikataba ya utendaji kazi katika Utumishi wa Umma uliowahusisha watendaji wakuu wa taasisi za serikali ili kupata maoni yao jijini Dar es salaam leo. IMG_4206 
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, na Mwenyekiti wa mkutano Bw. HAB Mkwizu akisikiliza mada wakati wa mkutano kuhusu mikataba ya utendaji kazi katika Utumishi wa Umma. IMG_4208Mkurugenzi Msaidizi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Hassan Kitenge akiwasilisha mada wakati wa mkutano  wa wadau kuhusu mikataba ya utendaji kazi katika Utumishi wa Umma uliowahusisha watendaji wakuu wa taasisi za serikali ili kupata maoni yao jijini Dar es salaam leo. IMG_4185 
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na sekretariati ya mkutano wa wadau kuhusu mikataba ya utendaji kazi katika Utumishi wa Umma

Post a Comment

0 Comments