Mzoga wa Twiga ukiwa pori la akiba la saadan Tanga,baada ya majangili walipogundua kufuatiliwa walikimbia pasipo kujulikana, chini ni mzoga wa Tembo ukiwa kwenye pori la seleous
PICHA KWA HISANI YA SAADAN LOUGE
TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUKATAA VITENDO VYA UJANGILI NCHINI
NA UHAMASISHAJI WA UTUNZAJI WA MAZINGILA
YAANZISHWA NCHINI
Habari Development Association ni Taasisi iliyoanzishwa na Baadhi ya
waandishi wa Habari za magazeti na
mitandao ya kijamii nchini Tanzania kwa lengo la kutoa Elimu kwa wa Tanzania na
hasa jamii zinazoishi kandokando za mbuga zetu za Taifa na Mapori yaAkiba kukataa na kupinga ujangili.vitendo vyote vya
ujngil wa ,Mariasil,. Adimu ya wanyama pori na utunzaji wa mazingila kwa faida
ya taifa letu la leo na vizazi vijavyo,Kutokana na Serikali yetu kuwa karibisha
wawekezaji nchini. katika sekta mabalimbali,. kwa lengo zuri,Imekuwa tofauti
kabisa baadhi yao wamegeuka na kuwa maadui wakubwa, kuwahi kutokea nchini .kwa
kuuwa wanyanya wetu ovyo bila huruma kitu kinachoelekea kumalizika kwa Wanyama
wetu, wa porini na kutowekeka kabisa
katika uso wa Taifa letu iwapo tusiposhikamanana wote kupambana na ujangili
huu.Mhe,Waziri wa mariasiri na utalii nchini Tanzania Barozi Kagasheki amekuwa
akijitahidi kwa nguvu zote kupambana na ujangili kitu kinacho leta tumaini la
kuutokomezwa ujangili,pamoja na jitihada za kagasheki rakini kumekuwepo na njama
za makusudi za kukwamisha jitiada nzuli za Mhe.Kagasheki ,zakupambana na
ujangilizinazo fanywa na baadhi ya Mafisadi wanao tumiwa na M tandao ,wa,
Majangili. nchini kitu ambacho wana, nchi,
na wana harakati na Taasisi mbalimbal.i wameapa kumuunga mkonoMhe Barozi
Kagasheki,Wachina ni tatizo kubwa hapa nchini.
hawaaminiki kabisa tofauti na matarajio
ya watanzania,wachina wamegundua uzaifu wa baadhi ya waTanzani ya kupenda.
rushwa na kuutumia uzdhaifu huo kwa kuwahonga pesa nyingi,karibia asilimia
sabini ya wachina walioingia nchini kama wawekezaji au wataalamu wa miundo
mbinu ni majangili na tayari wameweza kuwakamata baadhi ya viongozi na baadhi
ya mawaziri wanaotajwa kugombea urais, 2015 katika uchaguzi ujao.wakiongea kwa
uchungu baadhi ya wananchi wameomba kama kuna uwezakano mizigo yote ya wachina
inayoenda nje ya nchi hata ikiwa ya Barozi ipekuliwe,pia kusitisha mala moja
makampuni ya kichina yaliyo pewa tenda za ujenzi wa barabara zinazo pita ktk
mbuga zetu za wanyama.Tembo,Faru.Simba,Chui,Twiga,wako hatalini kutoweka katika
mbuga zetu.licha ya kuchukua ngozi,pia wanachukua mpaka mifupa.Taasisi ya
Habari Development Association inatoa Rai kwa kila mwananchi atakaye toa
taarifa sahihi zitakazo wezesha kukamatwa kwa mtu au watu au kampuni yoyote ile
ikiwa na meno ya TEMBO ,FARU,NGOZI za CHUI ,wasiliana nasi zawadi nono
itatolewa,na mtoa taarifa hatajulikana kwasababu itakuwa siri kati yetu nay
eye.tunafanya utaratibu wa kuweka simu zetu kwenye matangazo mbalimbali ambayo
yataanza kutoka kwenye magazeti na TV na
MABANGO yatakayo rahisisha mawasiliano,Tanzania bila ujangili inawezekana.
Na Bernard ,J,Mwanawille
0652 152 000
0 Comments