Random Posts

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR BILAL AONGOZA MAELFU YA WANANCHI KUUAGA MWILI WA DR MVUNGI JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Mohamed Bilal akitoa heshima za mwisho ktk kuuaga mwili wa DR Mvungi  aliye fariki hivi karibuni kutokana na kujeruhiwa vibaya  kwa kushambuliwa na vitu vyenye ncha kari  na watu wanao dhaniwa ni majambazi nyumbani kwake Kibamba nje kidogo ya mji  wa Dar Es Salaam
 Mhe,Wasira ambae ni Waziri ofisi ya Rais ni miogoni mwa walio jitokeza kuuaga mwili wa Dr Mvungi katika viwanja vya karimjee jijini Dar Es Salaam

 Mwenyeki wa chama cha Siasa MH, Mbowe ni miongoni mwa viongozi wa vyama vya siasa waliojitokeza kutoa heshima zao za mwisho
 Mwenyekiti  wa makampuni ya IppReginald  Mengi akitoa heshima zake za mwisho mbele ya jeneza lililo beba mwili wa Dr Mvungi
  Mwenyekiti na mlezi wa vyama vya Siasa nchini Fransic akisoma lisala ya marehumu kabla ya kusafirishwa.
 
Baadhi ya watoto wa kike wa marehemu wakijianda kuimba shahili la kumuaga kipenzi chao.Baba yao mpendwa dr Mvungi.

picha zote na Bernard James wa mtazamo media Dar Es Salaam

Post a Comment

0 Comments