Pamoja na kelele zote za kupinga ujangili nchini
.Wachina wameziba masikio.wameendelea kuuwa Tembo bila huruma.kwa raia wa China
kwa mwanvuri wa uwekezaji imekuwa pigo
kwa mariasili ya wanyama pori wetu.kitu kinacho hatalisha kutoweka kwa rasili
mali za wanyama wetu wa porini,Tembo sasa yuko hatalini kutoweka iwapo
hazitafanyika jitihada .Wachina wakishilikiana na Watanzania baadhi wamekamatwa
kwa utoroshwaji wa Meno ya Tembo na Madini aina ya Tanzanite. Kwa kutumia meri
ya kivita ya Kichina iliyotia nanga hivi karibuni.ktk bandari ya Dar Es
Salaam.tukio la kukamatwa kwa pembe za Tembo lilitokea juma tatu ya23/12/2013
Saa3 usiku wakati gari moja binafsi ilipo fika gate No2 ikisindikizwa na gari
la Polisi.huku ndani yake kukiwa na polisi.wakitaka kufika gate N O3Iliko
manowari ya kichina katika gari la kiraia kulikuwa na Raia 3 wa kichina.wa2
wakiwa wana jeshi na mmoja raia wakawaida wa china,pamoja na dereva ambae ni
raia.walinzi wa gate no2 walilazimisha kulikagua lile gari.kitu kilicho
sababisha kutokea mabishano makari.ndipo zilipokutwa shehena kubwa ya meno ya
tembo.Wachina walitoa milion25 za kiTanzania kwa lengo la kuw honga
walinzi,kitu kilchokataliwa na walinzi.kuona hivyo Wachina walitimua mbio
kuelekea kwenye meli yao.hata hivyo walikamatwa pamoja na shehena ya nyara za
Taifa ambayo thamani yake bado tathimini haijafanyika.wakati wa kuuaga
mwaka2013 na kuukaribisha 2014 .Mhe, Rais wa Jamuhuri ya Tanzania aliongelea
Tatizo la ujangili nchini kwa hisia kari.na jinsi operation Tokomeza Ujangili
ilivyofanikiwa.na baadhi ya silaha za kivita walizokuwa wanatumia majangili
kukamatwa na baadhi ya watumishi wa wizara ya mariasili waliokuwa
wanashilikiana na majangili kukamatwa.na kwamba katika pori la akiba la selous
tembo wmepungua kwa kiasi kikubwa kutoka Tembo109.419 mwaka 1976-Tembo 13.084
mwka2013.hili ni tatizo kubwa sana.Wachina ni tatizo kubwa hapa
Tanzania.wananchi wanaoishi kandokando ya mbuga za wanyama na mapori ya akiba
wameingia katika mtego wa waWachina.wameahidiwa kwa kila jino moja la Tembo shilling
laki moja/100.000 .kwa mwananchi wa kijijni sh 100.000 kwa kila jino ni pesa
nyingi sana.wameamua kutumia maboga yenye sumu kuwa uwa Tembo kwa ajili ya meno
yao.na kuna meno mengi yamefukiwa ardhini baada ya operation tokomeza ujangili
kuanza.kuna haja kubwa kupitisha elimu kwa jamii umuhimu wa kuzilinda mariasili
zetu.na mazingila yake
0 Comments