Swala pala akiwa amenaswa na mtego wa majangili katika mbuga ya Sadan
Twiga huyu alinasa kwenye mtego wa nyaya uliotegw ktk.lakini baadae alifanikiwa kujinasua.na kubaki na jeraha kubwa shingoni kama anavyo onekana .hii ilikuwa Sadan
Tembo huyu aliuwawa na majangili katika pori la Selous,ni ukatiri mkubwa wanaofanyiw Tembo.picha inajionyesha yenyewe/picha zote na Bernard James
0 Comments