Random Posts

SEMINA YA WASANII MBALIMBALI WA MUZIKI NA BONGO MOVIE YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


002Mkuu wa Mawasilano Promosheni na Uhamasishaji wa Mfuko wa Uthibiti wa Mfuko  Hifadhi Nchini (SSRA), akiwaelezea wasanii kuhusiana na mifuko mbalimbali ya hifadhi ya  jamii kama NSSF,PSPF ,LAPF,GEPF,PPF,NHIF  juu ya faida pale wapofikia muda wakustaafu kazi  kisanii au kupatwa na matatizo mbalimbali (katika), Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya (kusho), Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.003Afsa Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafi Mbibo akiwaelezea wasanii mwongozo wa utumiaji mashine maalumu za kodi za kielekitroniki (EFDs), wakati wa semina ya hatimiki kwa sanii mbalimbali wa bongo movie pamoja na muziki,004Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.akiwaezea wasanii jinsi hakimiliki na mikataba katika kazi za sanaa.005Afsa wa Mfuko wa Penseni (PSPF), Haji Jamadary nae akiwaelezea wasanii kuhusiana na uchangiaji katika mpango wa hiyari wakati wa kutegemea upatikanaji wa kipato cha ziada kwa ajiliya akiba.006Mwenyeki wa Bongo Movie, Steven Mengeze akiwasisitiza wasanii wenzake kuhudhuria kwenye semina pamoja na  kujiunga na  mifuko ya hifadhi ya jamii na namna ya kufuatilia  upatikanaji wa haki za kazi zao za sanaa.
009Msanii Aliy Mango akionesha umahiri wake wakucheza na nyoka wakati wa semina hiyo.

Post a Comment

0 Comments