Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini Nyaraka
zenye majina ya Wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili(2)
ya Familia ya Nguza Viking(Babu Seya), na Johnson Nguza waliopata msahama wa
Rais, katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiyahakiki kwa
kuyasoma majina ya Wafungwa 63 waliopata
msahama wa Rais kabla ya kutia saini Nyaraka hizo za Msamaha katika Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma. Kulia ni
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhakiki
nyaraka hizo za Msamaha wa Rais katika Ikulu ya Chamwino mkoni Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa mara baada ya kutia saini
majina ya wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili ya Wafungwa Nguza Viking(Babu Seya), na Johnson Nguza
waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha jela.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumzia
msamaha alioutoa jana kwa wafungwa waliokuwa wanatumikia vifungo mbalimbali
magerezani. Kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa akisikiliza.
Kamishna
Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa
akizungumza kuhusu Msamaha wa Rais na namna ulivyopokelewa vizuri ndani nje
ya Magereza.
PICHA
NA IKULU







0 Comments