Random Posts

Matukio katika picha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar


DSC_0363 Wanawake wanaowakilisha Wizara ya Maliasili na Utalii wakipita mbele ya mgeni rasmi katika uwanja wa Mwembe-yanga.DSC_0321  
Bibi aliyefurahia maandamano ya wanawake wenzake na kujiunga nao kusheherekea siku ya wanawake duniani.DSC_0336 Wanawake wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiserebuka wakati wa maandamano kuelekea uwanja wa Mwembe-yangaDSC_0350 
Baadhi wa wanawake wa wizara ya maliasili na utalii wakijiandaa kujiunga kwenye maandamano nje ya uwanja wa Mwembe – yanga

Post a Comment

0 Comments