Aliekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel
Sitta ameshinda nafasi hiyo kwa kura 469 dhidi ya mpinzani wake,Mh.
Hashim Rungwe katika uchaguzi uliofanyika muda mfupi uliopita.
HABARI
*Ni katika muendelezo wa mkakati wa TANESCO wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi…
Copyright (c) 2018 mtazamomedia All Right Reseved
0 Comments