Random Posts

Rais Dkt. Kikwete amjulia hali Salum Mkambala

D92A3656-1 D92A3630-1 (1) D92A3651-1 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM Bwana Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa muhimbili baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita(picha na Freddy Maro)

Post a Comment

0 Comments