Random Posts

Rais Dkt. Kikwete amjulia hali Bi.Margareth Chambiri Muhimbili

D92A3690 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijulia hali Ofisa wa Habari tume ya Uchaguzi Bi.Margareth Chambiri aliyelazwa katika Tasisi ya MOI Hospitali ya Taifa Muhimbili.Bi.Chambiri aliwahi kufanya kazi katika Televisheni ya Taifa TBC(picha na Freddy Maro

Post a Comment

0 Comments