| Mabingwa
wakisherehekea Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, mara baada
ya kukabidhiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania
(TFF), Jamali Malinzi, Uwanja wao wa Chamazi, Mbagala jijini Dar es
Salaam lao, ambapo waliitandika timu ya JKT Ruvu bao 1-0 katia mchezo wa
kukamilisha ratib ya ligi hiyo, uwanjani hapo. |