Random Posts

TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA YA IJUMAA KUU

2 (9)  
Waumini wa Kanisa la Kiinjili Tanzania KKT, la Azania Front la Dar es Salaam wakiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu3 (14) 
Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Usharika wa Azania Front, Moses Kombe, (katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya Kuwambwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika kanisa hilo Dar es Salaam jana. 
4 (8)  
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa akiwa katika ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la KKKT  la Azania Front Dar es Salaam.
6 (5) 
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Porkap Kadinali Pengo akiubusu Msalaba wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Josef Dar es Salaam jana.
7 (3)  
Waumuni wa Kanisa la Mtakatif Josef Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa wanaubusu Msalaba wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika Dar es Salaam jana.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM