| Kanisa
Katoliki Jimbo kuu la Tabora ambalo limedaiwa kutaka kulipuliwa majira
ya saa nne asubuhi ya leo baada ya kubainika kuwa mtu mmoja ambaye
alifika Kanisani hapo na kutaka kumrubuni mlinzi kwa kumpatia kiasi cha
shilingi elfu ishirini ili aweze kutekeleza dhamira yake ambayo
haikufanikiwa baada mlinzi kutoa taarifa kwa uongozi wa Kanisa hilo
ambao walitoa taarifa kwa makachero wa Jeshi la Polisi Tabora na
kufanikiwa kukamatwa kwa mtu huyo. |