| Salumu
Abel Muhunda mkazi wa Kata ya Cheyo manispaa ya Tabora amejeruhiwa
vibaya na kundi la Majambazi ambayo yalimvamia wakati akiuza dukani
huko eneo la Mwanga Shop ambapo majambazi hayo yalivamia yakiwa na
bunduki na kufyatua risasi hewani huku yakimjeruhi kwa kumpiga mapanga
na nyundo kichwani na baadae kumpora kiasi kikubwa cha fedha. |