Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
wakiwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kikao cha uwasilishwaji
wa ripoti za Kamati 12 za bunge hilo, mjini Dodoma leo. (Picha zote na
Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,
Samuel Sitta, akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa bunge hilo, wakati wa
kikao cha uwasilishwaji wa ripoti za Kamati 12 za bunge hilo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, John
Mnyika, akitoa taarifa kabla ya kuanza uwasilishwaji wa ripoti za Kamati
12 za bunge hilo, mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati namba 5 ya Bunge
Maalum la Katiba, Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai
Nahodha, akiwasilisha ripoti ya wengi ya kamati hiyo, katika kikao
hicho, mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati namba 5 ya Bunge
Maalum la Katiba, Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai
Nahodha, akiwasilisha ripoti ya wengi ya kamati hiyo, katika kikao
hicho, mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Kamati namba 2 ya Bunge Maalum la Katiba, Emmanuel Makaidi,
akiwasilisha maoni ya wachache kwenye kamati hiyo katika kikao cha bunge
hilo ilichokuwa kikipokea ripoti za Kamati 12 za kujadili Sura ya
Kwanza na ya 6 ya Rasimu ya Pili ya Katiba, mjini Dodoma leo.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba 5 ya
Bunge Maalum la Katiba, Assumpter Mshama, akiwasilisha ripoti ya wengi
ya kamati hiyo katika kikao hicho, mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya
(kulia), akiteta jambo na wajumbe wenzake, Mwenyekiti wa Chama cha
Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba (kushoto) na Waziri wa Ulinzi na
Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, wakati wa kuwasilishwa kwa
ripoti za kamati hizo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Spika
wa Bunge la Jamhuri Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kushoto) na
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, wakiteta
jambo, wakati wa uwasilishwaji wa ripoti za kamati, ndani ya ukumbi wa
mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Kamati namba 5 ya Bunge Maalum
la Katiba, David Kafulila, akiwasilisha maoni ya wachache kwenye kamati
hiyo, katika kikao cha uwasilishwaji wa ripoti za Kamati 12 za kujadili
Sura ya Kwanza na ya 6 ya Rasimu ya Pili ya Katiba, mjini Dodoma leo.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtila akipiga meza kumuuga mkono Makaidi wakati alipokuwa akiwasilisha maoni ya wachache kuhusu Muungano wa Serikali tatu katika Sura ya Kwanza na ya Sita ya Rasimu ya Pili ya Katiba, vinavyozungumzia mfumo wa Serikali ya Tanzania.

Mjumbe wa Kamati namba 5 ya Bunge Maalum la Katiba, David Kafulila,
akiwasilisha maoni ya wachache kwenye kamati hiyo, katika kikao cha
uwasilishwaji wa ripoti za Kamati 12 za kujadili Sura ya Kwanza na ya 6
ya Rasimu ya Pili ya Katiba, mjini Dodoma leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia) na Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, wakiteta jambo,
wakati wa uwasilishwaji wa ripoti za kamati, ndani ya ukumbi wa Bunge,
mjini Dodoma leo.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakimshangilia mwenzao, David Kafuliala (katikati) kwenye viwanja vya Bunge, baada ya furahishwa na alivyowasilisha ripoti ya wachache katika kamati yake namba 5, Bungeni mjini Dodoma leo.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakimshangilia mwenzao, David Kafuliala (katikati) kwenye viwanja vya Bunge, baada ya furahishwa na alivyowasilisha ripoti ya wachache katika kamati yake namba 5, Bungeni mjini Dodoma leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
wakimshangilia mwenzao, David Kafuliala (katikati) kwenye viwanja vya
Bunge, baada ya furahishwa na alivyowasilisha ripoti ya wachache katika
kamati yake namba 5, Bungeni mjini Dodoma leo.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, David Kafuliala, akipongezwa na baadhi ya wajumbe wenzake, kwenye viwanja vya Bunge, baada ya furahishwa na alivyowasilisha ripoti ya wachache katika kamati yake namba 5, Bungeni mjini Dodoma leo.

Na Magreth Kinabo –Dodoma
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amesema mjadala kuhusu taarifa za sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajia kuanza wiki ijayo katika Bunge hilo.
Sitta alisema hay leo katika ukumbi wa
Bunge hilo mjini Dodoma baada baadhi ya wajumbe kumwomba kuchangia
mjadala wakati ripoti hizo zikiendelea kuwasilishwa.
Alisema mdajala wa kuchangia sura hizo utaanza mara baada ya Kamati 12 za Bunge Maalum la Katiba kuwasilisha taarifa zao za sura ya kwanza na ya sita kuhusu Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge hilo.
Aliongeza kuwa kwa kujibu wa Kanuni ya
namba 33(6) ambayo inasema baada ya Hoja za taarifa za Kamati namba
moja hadi namba Kumi na Mbili kutolewa katika Bunge Maalum na
Mwenyekiti kuelekeza hoja hizo zijadiliwe , mjadala kuhusu taarifa hizo
utaanza.
Mwenyekiti huyo aliwataka baadhi ya
wajumbe hao kusubiri mpaka uwasilishaji wa taarifa hizo utakapokamilika
ndio watapata nafasi ya kuchangia kwa muda mrefu na kuwezesha wajumbe
wengi kupata nafasi hiyo