Random Posts

UZINDUZI WA GLOBAL TV ONLINE WAFUNIKA

 
Kutoka kushoto: Wasanii Dk. Cheni, Bi. Mwenda, Profesa Jay na Wema Sepetu wakishiriki kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa GlobaL TV Online jana.
 
Wema Sepetu na Profesa Jay wakifunua vitambaa wakati wa uzinduzi wa GlobaL TV Online jana katika ofisi za Global Publishers Ltd.
 
GlobaL TV Online baada ya kuzinduliwa rasmi.
Mkurugenzi wa Global Publishers & General Enterprises Ltd, Eric Shigongo pamoja na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu wakikata keki wakati wa uzinduzi huo.
Mkongwe wa sanaa ya maigizo Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ akijiandaa kufungua shampeini.
Shampeini zikiwa tayari kufunguliwa.

….
IT’S CHEERS TIME…