| Baadhi
ya viongozi wa wanafunzi wa Chuo cha SAUT anbao ni wanachama wa Chadema
CHASO wakizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chadema Kanda
ya Magharibi ambapo walilalamikia uboreshwaji wa daftari la mpiga kura
kabla ya kuelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa.Mbali na hilo
CHASO wameazimia kwa kauli moja kususia zoezi la kupigia kura
upitishwaji wa rasimu ya pili ya katiba mpya kabla ya kuboresha daftari
la mpiga kura. |