| Mtoto
AMISA MALEBHI(miaka 2 na miezi sita)ambaye ana matatizo ya jicho la
kushoto anahitaji msaada wa kupelekwa hospitali ya KCMC Moshi kwa ajili
ya matibabu kwa atakayeguswa anaweza kuwasiliana na mama yake mzazi
TAUSI HAMISI mkazi wa Ufuluma wilaya ya Uyui mkoani Tabora....Mtoto huyu
imeelezwa kuwa endapo atacheleweshwa kupatiwa msaada anaweza kupata
Saratani ya Jicho,...KWA HALI NA MALI FANIKISHA MATIBABU YA MTOTO HUYU
AMBAYE ANAHITAJI FURAHA KAMA WALIVYO WATOTO WENGINE. |