Jaji
wa Mahakama kuu Mhe.Njengafibili Mwaikugile akisalimiana na Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu katika ofisi za Mahakama kuu
jijini Dar es Salaam wakati IGP alipokwenda kula kiapo cha kuwa mjumbe
wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza.Tume hiyo
inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na
Magereza.Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mbarak
Abdulwakil na kushoto ni DCI Issaya Mngulu
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa
Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya
Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam
jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi
na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa

Jaji
wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile akimpongeza Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe baada ya kula kiapo cha kuwa
Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele
yake jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya
kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama
kuu Bw. Benedict Mwingiwa na IGP Ernest ManguPolisi) 
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe
wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa
Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana
.Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na
Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa
Mkurugenzi
wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Issaya Mngulu akila kiapo
cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza
mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es
Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari
polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict
Mwingiwa
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa
Kamishna wa Utawala na Utumishi wa Jeshi la Polisi, Thobias Andengenye akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)