Random Posts

MAELFU YA WA-JORDAN WAKUSANYIKA KUSHANGILIA WANACHOONA WAO NI USHINDI WA KUNDI LA HAMASI DHIDI YA ISRAEL

 Mama wa kipalestina akiwa haamini  macho yake jinsi ndege za Israel zilivyo agamiza maelfu ya wa Palestina
Mwanamke wa Kipalestina akiwa na nguo ya mtoto mdogo yenye maandishi yasemayo Israel ni wauaji wa watoto
Waandamanaji katika mji wa Tehelani wakiwa wamebeba mabango yanayoilani Israel kwa kuiita ISRAEL NI MAGAIDI
Wa Jordani wakiwa wanaichoma bendera ya Israel kuonyesha hasira zao dhidi ya mashambulizi  ya Israel.


PAMOJA NA ISRAELI kulisambaratisha kundi la kigaidi la Hamasi nusu milioni ya Wajordani wamekusanyika kushangilia ushindi wa Hamasi dhidi ya Israel.Mkusanyiko huo ulioitishwa na kundi lenye msimamo mkari wa kidini ISLAMIC OPPOSITION na Brotherwood .kiongozi wa kundi hilo Said Said aliisifu Hamasi kwa kuweza kuhimili mashambulizi na kufanikiwa kurusha maroketi ndani ya Israel kulikosababisha vifo vya zaidi ya waIsrael 60 huu ni ushindi mkubwa kwa waarabu alisema Saidi.Habari hii ni kwa msaada wa Mtandao.