JAMES BRADY Aliyekuwa Katibu wa Habari wa Rais wa Marekani Leonald Reagan enzi ya uhai wake kabla hajapigwa risasi ya kichwa katika jaribio la mauaji lililoshindwa.
.......................................................
James Brady aliyeponea chupuchupu katika jaribio la kumuuwa Rais wa Marekani wakati huo akiwa Leonald Reagani amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka73.James alipigwa risasi ya kichwa iliyosababisha aparaliyze upande mmoja wa mwili wake.John Hincley alimfwatulia risasi Reagan na kumjeruhi yeye pamoja na maofisa wa Polisi.mtuhumiwa alipofikishwa mahakamani Jaji aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo.Aliamuru Hinckley akapimwe akili .matokeo ya vipimo yalionyesha Hinkley alikuwa ni mgonjwa wa akil .hivyo alichiwa huru na mahakama .rakini ikaamuliwa apelekwe Hospital ya vichaa.
![]() |
| Leonald Reagan Akiwa na James Brady enzi ya uhai wao .Hapa wakiwa katika majukumu ya kitaifa. |
