...........................
Rais
Barack Obama Amewaonya ,waasi wanaojiita
Taifa la Kiislamu, litakabiliwa na mashambulizi makali, kutoka majeshi ya Marekani
hasa baada ya Waasi kuuzingila mji wa YAZIDI unaokaliwa na Wakristo wengi.Waasi
wametangaza vita ya jihad kwa mtu yeyoteasiye Muislaam wa Suni mkrito anapaswa kuchagua kubadili Dini
nakuwa Muislam ,au kifo.wakimaanisha iwapo mtu yeyote atakaye kataa kubadili na
kuwa Muislam basi anakuwa tayari,amejikatia yeye mwenyewe hukumu ya
kifo.wayazidi wengi wamekimbilia katika viunga vya milima na mabonde ya SINJAR huku wakikabiliwa na njaa na ukosefu wa huduma
mbalimbali za kibinadamu .Baraza la umoja wa mataifa limelaani vikari kundi la
ISIS k wa mauaji makubwa wanayoyafanya
wanapokuwa wameteka miji.nayo Uingereza imetangaza kutoa msaada wa uro 8million kusaidia
watu 500000 waliokimbia mashambulizi kutoka kwa kundi lililojipa jina la Taifa
la Kiislam ISIS.Pia kundi hilo linawaona wa Shiite ni adui yao namba2
nalimekuwa linaendesha mauaji ya kutisha kwa dhehebu ya washiite.Naye Papa
Fransisco ameomba jamii ya kimataifa kuingilia kati kuwaokoa jamii ya Yazidi
kutoka katika hatali ya mauaji ya kimbari.wakati huohuo Rais Obama amesema
Marekani itaendelea kuwa karibu na serikali ya Irag kwa kutoa ushauli wa kijeshi
kwa vikosi dhaifu vya nchi hiyo.Mji wa Yazidi ni mji wenye wakristo wengi
nchini Irag na ni mji ,wakristo wengi nchini humo wanauona ni mji mtakatifu na
wakumbukumbu
Hii kali-Watu wawili wakiwa wamesulubishwa kwenye msalaba na waasi wa(
ISIS), baada ya wapiganaji hao kuuteka
mji huo.kulia ni mtoto wa jamii ya Yazidi akiwa hajui nini afanye.Akina Mama na
watoto wamekuwa waasirika wakubwa katika mapigano yanayoendelea iraq.
Msululu mleefu wa watu wakikimbilia katika viunga vya milima
ya Sanjar kaskazini mwa mji wa Yazidi kukwepa mauji yanayofanywa na wapigaganaji wanaojiita Taifa la
Kiislaam.
Mtoto wa kike akiwa amebebwa na wananchi wanaokimbia mapigano katika mji wa Yazidi ,Yazidi ni mji wenye wakazi wengi Wa-Kristo .
Kundi kuubwa la watu wakiwa wamekata tamaa.




0 Comments