Random Posts

BINGWA WA DUNIA WA VAZI AINA YA BIKINI VLATKA KUGOMBEA UBINGWA WA MWANAMKE ALIYEJEGEKA MWILI

 Miss Bikin  Vlatka Dragic 27 umri akiwa katika vazi la bikin wakati wa mashindano yakumtafuta miss bikin wa Dunia .Vlatka ametangaza  kugombea ubingwa wa Dunia safari hii katika fani nyingine anagombea miss Body Building yanayotemea kufanyika hivi karibuni,Vlatka ni msomi mweye shahada mbili (Masters) ya mambo ya biashara na masoko.
 Vlatka akiwa katika mikao mbalimbali inayo onyesha jinsi alivyo katika umbo zuli lililo jengeka kimazoezi
Vlatka akiwa katika vazi la Bikin wakati wa mashindano ya kumsaka Binwa wa Dunia.