(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-KIBITI)
Mbunge wa jimbo la Kibiti . Mh. Abdul Marombwa akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa watumishi wa zahanati ya kijiji cha Muyuyu wakati ziara ya katika mkoa wa Pwani
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akipanda mti katika zahanati ya kijiji cha Nyamatanga wilayani Kibiti mkwani Pwani
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akishiriki ujenzi katika zahanati ya kijiji cha Nyamatanga.
Jengo la zahanati ya kijiji cha Nyamatanga
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akizumza na wananchi wa kijiji Nyamatangakata ya Nyamatanga
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akishiriki kupiga marimba katika kijiji cha Songa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akiweka jiwe la msingi katika ofisi ya CCM jimbo Kibiti.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akishiriki katika ujenzi wa ofisi ya CCM Kibiti
Katibu Mkuu mahia kuc yindwa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akipata mahindi ya kuchoma mjini Kibiti.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akikagua soko jipya mjini Kibiti.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akikagua soko jipya mjini Kibiti.
MsKatibu wa CCM Mkoa wa Pwani mama Joyce Masunga akizungumza na waanchinchi wa Kibiti.
Mkuu wa wilaya ya Rufiji Bw. Nurdin Babu akiteta jammbo na Mbenge wa jimbo la Kibiti Mh. Abdul Marombwa huku Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Ndugu Mwisheshe Mlao.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akimsikiliza aliyekuwa Selemani Ndumbogani Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMa Kibiti mara baada ya kutangaza kurejea CCM.
Selemani Ndumbogani Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMa Kibiti maraa akikabidhi kadi yake kwaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana baada ya kutangaza kurejea CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akizungumza jambo na wazeee wa baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa ofisi ya serikali ya kijiji cha Kinyanya.