Random Posts

‘OKWI MWISHO CHALINZE MJINI KILA MTU JAJA’ OKWI KARUDI MNALUKA 5-0’ , KWANINI WASIWAZE HAYA?


Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
0712461976
YANGA kuifunga Simba katika  mechi ya kirafiki, bonanza au mashindano ni faida kubwa kwa kocha na wasaidizi wake, vivyo hivyo kwa upande wa pili.
Makocha wengi wa nyuma waliwahi kusifiwa na kuonekana bora kwa kitendo cha kumuadhibu mtani wa jadi, na wale waliozichomesha timu zao mbele ya mtani walitimuliwa kirahisi tu.
Hata wachezaji wanaofanya vizuri baina ya watani wa jadi wanaonekana moto wa kuotea mbali kuliko wale wanaofanya vizuri kwenye mechi dhidi ya timu nyingine.
Sahizi Simba na Yanga zipo chimbo kujiandaa na ligi kuu msimu wa 2014/2015 unaotarajia kuanza kutimua vumbi septemba 20 mwaka huu.
Yanga wataanza kampeni zao septemba 20 mwaka huu uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro dhidi ya Mtibwa Sugar, wakati siku inayofuata (septemba 21) Simba watakuwa uwanja wa Taifa kuivaa Coastal Union.
Kusoma zaidi makala hii bofya www.bkmtata.blogspot.com