Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la
Azikiwe, Fabiola Massula (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo. Kulia
ni Mshereheshaji wa shoo hiyo. Benki hiyo ni mmoja wa wadhamini wa shoo
hiyo.
Mkurugenzi wa Women Talent System,
Angels Howell (katikati) akizungumza jambo kuhusiana shoo hiyo (kulia
kwake), Meneja kutoka Mmi Tanzania, Paolo Frattari.
Rais wa Shirikisho la Dunia la
mchezo wa Karate (UPAM), Profesa Martina Maurizio (kushoto), akipiga
makofi kushiria kufulaishwa na jambo wakati wa mashindano ya vipaji vya
wanawake (WOMEN TALENT SYSTEM) ilifanyika Septemba 25,2014 katika Hotel
ya JB BELMONT jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa pamoja na wasanii wakifuatilia shoo hiyo.
![]() |
| Wacheza shoo walioandaliwa kutoa burudani wakionesha uwezo wao. |
Rais wa Shirikisho la Dunia la
mchezo wa Karate (UPAM), Profesa Martina Maurizio akionesha uwezo wake
wakuvunja vibao kwakutumia mkono.
Profesa Martina Maurizio akionesha uwezo kwa jiwe lilokuwa limewekwa kifuani kwake na kunjwa kwakutumia nyundo.
Wacheza shoo walioandaliwa kutoa burudani wakionesha uwezo wao.









0 Comments