Random Posts

MLEBANONI MWINGINE ACHINJWA KAMA KUKU NA WAPIGAJI WA DOLA YA KI-ISLAAMU ISIS

Abbas Mildle miaka20 akiwa amefungwa pingu mikono yake ,huku amesimamiwa na wapiganji wa Isis muda mfupi kabla ya kuchinjwa kama kuku na kundi hilo linlojiita dola ya ki-islaamu.



Askari mwingine wa Lebanoni ,amechinjwa kama kuku na wapigaji wa kundi linalojiita Dola ya Ki-islamuu,Abbas anakuwa mwanajeshi wa pili kukatwa kichwa na wapigaji hao,Abbas ni kati ya wanajeshi 19 wa Lebanoni waliotekwa na kushikilwa na wapigaji hao,walitekwa nyara baada ya wapigaji hao kutoka Siria kuvuka mpaka na kuingia katiak miji iliyopo mipakani
Mama yake Abbas anayeitwa Zeinabu Noun alipiga yowe baada yakumuona mtoto wake kupitia mtandao wa twitter unaomilikiwa na wapiganaji hao,
Baada ya kushikiliwa mateka alijaribu kuwatoroka wauaji kwa kujifanya anaenda bafuni.
Wapinaji hao wa Isis wanaendesha harakati zao za kutaka kuiangusha serikali ya Iraqi na kusimika utawala utakaofata sheria za Ki-islaamu.walikaribia kuiangusha serikali ,rakini Marekani ikaingilia kati na kuwarudisha nyuma,wapiganaji hao wamekuwa wakiendesha mauaji ya halaiki pindi yanapo vamia miji mbalimbali.